Kijana
Said ambaye aliteseka na uvimbe mkubwa usoni sasa amepona baada ya
kufanyiwa upasuaji katika Hospital ya CCBRT iliyopo jijini Dar.
Akizungumza na waandishi wa habari hii, Ngawaje alisema kwa sasa ana
amani moyoni na kuhisi raha ya dunia baada ya kuteseka kwa muda mrefu
huku akiamini hawezi kupona tena.“Mimi siamini kama ule mzigo mzito
uliokuwa umefunika usoni wangu haupo, nilikuwa nashindwa kulala kwa
mawazo, sasa hivi niko sawa,”
alisema.Ngawaje
alisema matunda hayo ameyapata baada ya gazeti hili la Machi 11, mwaka
huu kutoa habari yake ukurasa wa 15 akielezea matatizo yake, watu
mbalimbali walimchangia fedha kwa ajili ya matibabu.
INGAWAJE Said (38), mkazi wa Bagamoyo kwa
Mtoro, Pwani ambaye aliteseka na uvimbe mkubwa usoni kwa miaka 12 sasa
amepona baada ya kufanyiwa upasuaji katika Hospital ya CCBRT iliyopo
jijini Dar.
Muonekano wa uvimbe aliokuwa nao kabla ya
kufanyiwa upasuaji. “Halafu akajitokeza mfadhili mmoja ambaye alitoa
fedha zote za kufanyiwa upasuaji ambapo upasuaji wa kwanza alifanyika
Julai 15, mwaka huu na wa pili Oktoba 30, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment