Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady.
Kwa mujibu wa jarida la linalodili na habari za showbiz (biashara ya
shoo) la E-Vibe la nchini Uganda la hivi karibuni, Zari ambaye wikiendi
iliyopita alimng’arisha Diamond katika zulia jekundu kwenye Tuzo za
Channel O (Choamva) zilizofanyika Johannesburg nchini Afrika Kusini
‘Sauz’, anadaiwa kuwa ‘klozi’ na idadi hiyo ndefu ya wanaume.Ingawa
mwenyewe amekuwa akikanusha kila kukicha, mrembo tajiri mwenye maskani
yake nchi jirani ya Uganda na Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a Zari
au The Boss Lady,